Pablo: Tumefanya makosa yaliyotugharimu Kocha Mkuu wa Simba Pablo Franco Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa wamefanya makosa ya kiulinzi yaliyoifanya Namungo kupata mabao mepesi katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Ilulu. Read more about Pablo: Tumefanya makosa yaliyotugharimu