Mchezo dhidi ya Namungo mgumu kwetu- Kocha Pablo

Kocha wa Simba Pablo Franco Martin

Ligi Kuu soka Tanzania bara NBC Premier League inaendela leo kwa mchezo mmoja ambapo klabu ya Namungo FC watakuwa wenyeji wa Saimba SC. Mchezo huu unachezwa Saa 10:00 Jioni uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS