Watoto wahalifu mtawakuta Polisi kesho- RC Makalla

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala ametangaza rasmi kuanza kwa Operesheni maalumu ya kuwasaka wahalifu wanaovamia na kupiga watu majumbani maarufu kama Panya road huku akiwataka wazazi kuwa makini na watoto wao wahalifu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS