United,Chelsea Sare ya 4, Rangnik kuinoa Austria
Magoli ya Marcos Alonso na Cristiano Ronaldo yaliyofanya mchezo wa usiku wa jana april 28 kuisha kwa Sare ya 1 - 1 katika mchezo wa ligi kuu ya England Manchester united dhidi Chelsea ilikua ni sare yao ya 4 mfululizo huku michezo miwili wakitoka sare tasa na michezo miwil wakifungana 1-1.