Kijana akatwa vidole Dar es salaam

Kijana Mohammed Rajabu (18) mwenye ualbino mkazi wa mtaa wa Mferejini kata ya Manzese Dar es salaam amenusurika kupoteza mkono wake baada ya kukatwa vidole na watu wasiojulikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS