Abiria aendesha ndege, rubani alipoteza fahamu
Siku ya jumanne wiki hii, abiria aliyekuwa ndani ya ndege bila mafunzo yoyote ya urubani, alifanikiwa kuendesha ndege kutoka Bahamas mpaka katika mji wa Florida nchini Marekani baada ya rubani wa ndege hiyo kupoteza fahamu.