"Nchi nyingi wana-copy mipango yetu" -Dkt Nchemba
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaambia Watanzania wasijidharau kwani nchi ya Tanzania inaongozwa kwa maono na hata nchi nyingine nyingi mipango wanayotekeleza wame-copy kutoka Tanzania.