Mkutano mkuu wa CAF kuleta utalii Arusha
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Wallace Karia amefanya mkutano na Uongozi wa Mkoa wa Arusha juu ya maandalizi ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF.