Bodi ya Utalii yatakiwa kuongeza ubunifu
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, amesema licha ya kwamba Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inafanya jitihada kubwa ya kuhamasisha utalii lakini bado jitihada hizo haziendani na utajiri mkubwa wa mazao ya utalii yaliyopo Tanzania na hivyo kuwataka waongeze ubunifu.