Msitha''jifunzeni kutumia vifaa vya kieletroniki''
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha amewataka wadau wa mchezo wa riadha waliojitokeza kuhudhuria kwenye mafunzo ya kutumia vifaa vya kieletroniki katika utunzaji wa muda, kuyapa uzito mafunzo hayo ili kuendelea kufanya vizuri zaidi katika mchezo huo kitaifa.