Man.United kujiuliza kwa Chelsea bila nyota sita
Mchezo mmoja wa ligi kuu ya England utapigwa majira ya saa 4 kasoro usiku wa leo ambapo mashetani wekundu manchester united watakua nyumbani katika dimba la Old Trafford wakiwa na mchezo mwingine mgumu wakijaribu kujiuliza dhidi ya Chelsea baada United kupoteza michezo miwili mfululizo.