Mtoto wa Mbunge mwenye miaka 15 ajiua kwa risasi
Mtoto wa kiume wa mbunge maalum nchini Kenya David Ole Sankok, aitwaye Memusi Sankok mwenye umri wa miaka 15, amejipiga risasi kwa kutumia bastola ya baba yake nyumbani kwao katika eneo la Ewaso Nyiro, kaunti ndogo ya Narok Kusini.