"Zuchu hata kwa msaafu naozesha" - Khadija Kopa Kushoto ni Khadija Kopa, kulia ni Diamond na Zuchu Malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa amekutana na kamera za EATV na EA Radio Digital kujibu taarifa za mtoto wake Zuchu kuhusishwa kuwa na mahusiano na Diamond Platnumz. Read more about "Zuchu hata kwa msaafu naozesha" - Khadija Kopa