Real Madrid yamalizana na Rudiger

Klabu ya Real Madrid imekubaliana na beki wa kati Antonio Rudiger kwa kandarasi ya miaka minne kwanzia msimu ujao, baada ya mazungumzo ya muda mrefu na klabu yake ya sasa, Chelsea  kushindikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS