TRA yajadili kutoza kodi Whatsapp na Instagram

Kwenye picha ni wataalam wa kampuni ya Meta wakiwa na viongozi wa TRA.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekutana na wataalam wa kampuni ya Meta inayomiliki mtandao wa instagram, whatsapp na facebook kujadili namna ya kukusanya kodi kupitia huduma zao nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS