KMC FC yazuru kaburi la hayati Magufuli chato

wachezaji na viongozi wa KMC.

Wachezaji, viongozi pamoja na Benchi la ufundi KMC FC leo wamezuru katika kaburi la hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli nyumbani kwake Wilayani Chato Mkoani Geita ikiwa nisehemu ya kutambua na kuenzi mchango wake katika sekta ya michezo alioufanya enzi ya uhai wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS