Boston waichapa Nets, Sixers wang'ara NBA

(Nyota wa Brooklyn Nets Kevin Durant)

Mechi za mtoano (Play-offs) kwenye ligi ya kikapu Nchini Marekani (NBA) zimeendelea kutimua vumbi baada ya michezo mitatu kuchezwa asubuhi ya leo na kutoa taswira kwa baadhi ya timu kutinga nusu fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS