"Tulipeleka mahari kwa Maunda Zorro" - Afande Sele
Picha ya Afande Sele na marehemu Maunda Zorro
Msanii Afande Sele ameshea kwamba kabla ya kifo cha Maunda Zorro alipeleka mahari kwa Mzee Zahir Zorro kwa ajili ya mdogo wake kutaka kumuoa lakini bahati mbaya akafariki.