"Bajaji na bodaboda ziingie mjini"- Bashungwa

Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa

Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa, amemuelekeza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, kusimamia usitishwaji wa zuio la bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS