Stars itafuzu Afcon 2023-Kocha Poulsen

(Kocha mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen)

Kocha mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen amesema anahitaji michezo miwili ya kirafiki kabla ya kuanza kwa michezo ya kufuzu kwenye michuano ya Afcon 2023 inayotarajiwa kufanyika nchini Ivory Coast

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS