Bidhaa za Google kuzalishwa Nairobi

Oktoba mwaka jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Google, Sundar Pichai alitangaza uwekezaji wa $1 billioni barani Afrika kwa ajili ya ukuajji wa huduma ya dijitali.

Kampuni ya Google imetangaza kuwa kituo cha kwanza cha uzalishaji wa bidhaa zao kwa barani Afrika kitakuepo katika mji wa Nairobi, Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS