Benki ya Dunia kuipiga jeki Tanzania

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za kiuchumi zinazotokana na madhara ya UVIKO-19 na vita vinavyoendelea baina ya Urusi na Ukraine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS