Mikopo ilielekezwa kwa vikundi visivyolengwa - CAG

Mfano wa Noti za Tanzania

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2020/2021 imebainisha kuwa SELF Microfinance imetenga asilimia 56 ya fedha zake zote kwa shughuli zisizo za msingi na vikundi vya kijamii visivyolengwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS