Taarifa kuhusu ajali ya Bruno Fernandes wa Man U
Kiungo Bruno Fernandes anatarajiwa kuwemo kwenye kikosi cha Manchester United kitakachoivaa Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza, licha ya kuhusika kwenye ajali ya gari lake ambayo ilitokea mapema hii leo.