''Mchezo wa Ruvu na Yanga ni fursa '' - Gindi
Katibu wa Chama cha Soka Mkoa wa Kigoma (KFA), Omary Gindi ameupongeza uongozi wa Ruvu Shooting kwa kuleta mchezo wao dhidi ya Yanga katika mkoa wa Kigoma huku akisema hii ni fursa kwa wafanyabiashara kujipatia kipato kutoka kwa wageni wataokuja kutazama mchezo huo utaopigwa Mei 4.