Mfugaji wa Nyoka afariki kwa kuumwa na Nyoka wake
Mwanamume mmoja huko nchini Marekani David Riston, ambaye alikutwa amefariki ndani ya nyumba yake imegundulika kuwa alikuwa mfugaji wa nyoka na kifo chake kimesababishwa na kuumwa na nyoka aliokuwa anawafuga