Mchakato wa katiba mpya kuanza kipindi kijacho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa mchakato wa kupata Katiba mpya utafanyika katika kipindi kijacho cha miaka mitano. Read more about Mchakato wa katiba mpya kuanza kipindi kijacho