TFF na Semina ya siku tatu kwa Waamuzi
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, Jumanne ya Leo February 15, 2022 limeanza rasmi kuendesha semina ya siku tatu kwa waamuzi wote wanaochezesha Ligi Kuu NBC Tanzania kwa ajili ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi hiyo.

