Pochettino achukizwa na kichapo cha mabao 3-1

Mauricio Pochettino

Kocha wa klabu ya PSG Maurcio Pochetino ameweka wazi kuwa amekasirishwa na matokeo ya kipigo cha mabao 3-1 walichokipata kutoka kwa Real Madrid kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Real Madrid na kupelekea kutolewa kwenye kwenye michuano hiyo na Madrid imefuzu hatua ya robo fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS