Akina Halima wakifukuzwa uanachama ubunge utakoma

Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson

Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge likipewa taarifa rasmi kuwa wabunge 19 wa CHADEMA akiwemo Halima Mdee na wenzake wamefukuzwa uanachama na chama chao basi ndipo wabunge hao watakoma kuwa wabunge wa Bunge hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS