Guardiola aweka rekodi ya kibabe Ulaya

(Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola)

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameiongoza timu yake kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Norwich kwenye EPL Jumamosi Februari 12, 2022 na kuweka rekodi ya kufikisha ushindi wake wa 550.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS