Lebron wa kwanza muda wote kwenye NBA

(Nyota wa LA Lakers, Lebron James akifungwa kwa ku-dunk kwenye NBA)

Lebron James wa LA Lakers ameweka rekodi ya kufunga alama nyingi zaidi kwenye historia ya NBA kwa kujumlisha michezo ya kawaida ya msimu na ile ya mtoano, alama 44, 157 na kumpita gwiji Kareem Abdul-Jabbar mwenye 44, 149.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS