Dkt. Mwele Malecela afariki dunia Dkt. Mwele Ntuli Malecela enzi za uhai wake Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Mwele Ntuli Malecela amefariki Dunia. Read more about Dkt. Mwele Malecela afariki dunia