Ben Pol kuingia tena kwenye ndoa
The Best RnB singer Ben Pol ameiambia EATV & EA Radio Digital kwamba anapenda kuwa na mhimili wa familia, pia anatamani na anaamini ataingia tena kwenye ndoa baada ya kuachana na aliyekuwa mke wake Anerlisa kutoka Kenya.

