Kane amshusha Henry Muda wote EPL
Harry kane sasa amempita Gwiji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa ligi kuu ya Engalnd baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa magoli 5-0 wa Tottenham dhidi ya everton usiku wa jana.

