Rashford kumrithi Mbappe PSG

(Marcus Rashford)

Klabu ya PSG imeonyesha nia ya kumtaka Marcus Rashford kama mbadala wa Kylian Mbappe endapo Mbappe aitahama klabu hiyo na kujiunga na Real Madrid msimu ujao kama taarifa mbali mbli zinavyosema.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS