Peng Shuai asisitiza kuhusu sakata la Ubakaji

(Mcheza Tennis wa China, Peng Shuai)

Nyota wa Tennis kutoka nchini China, Peng Shuai amezidi kusisitiza kuwa watu hawakumuelewa kwa kiasi kikubwa kuhusu chapisho lake katika mtandao wa Weibo kuhusu tamko lake la kulazimishwa kuingia katika mahusiano ya mapenzi na kiongozi wa zamani wa chama cha Chinese party.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS