Greenwood azidi kuwa matatani
Polisi Jijini Manchester Nchini England, wameongeza muda zaidi wa kufanya mahojiano maalum na nyota wa Manchester United, Mason Greenwood (20) ambaye anakabiliwa na tuhuma za ubakaji na kumtishia kumuua mpenzi wake Harriet Robson.