Makonda amtuma wakili wake mahakamani Paul Makonda Wakili wa mjibu maombi Paul Makonda, ameieleza Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kuwa mteja wake bado hajapokea hati yoyote ya wito wa Mahakama dhidi yake, zaidi ya kuzipata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari. Read more about Makonda amtuma wakili wake mahakamani