Manchester City yafuzu robo fainali FA CUP
Timu za Manchester City, Middlesbrough na Crystal Palace zimefuzu hatua ya robo fainali ya michjuano ya kombe la FA CUP nchini England baada ya kushinda michezo yao ya hatua ya 16 bora jana Usiku, huku Tottenham ikitupwa nje ya mashindano.

