Amchoma moto mke wake mjamzito
Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia Shukrani Kamwela (16), mkazi wa Ileje mkoani Songwe kwa tuhuma za kumuua kwa kumchoma na kisu mke wake aitwaye Subira Kibona (16) aliyekuwa ni mjamzito na kisha mwili wake kuuchoma moto.