Mimi ni Chui jike- Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wana Kilimanjaro kwa mapokezi yao kwake na kusema mwanzo walimwimbia kama Simba jike lakini mara baada ya kuvikwa vazi rasmi la mkoa huo akawa Chui jike.