Mshambuliaji wa Mtibwa Salum Kihimbwa akipiga mkwaju wa penati kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Coastal Union
Raundi ya 12 ya Ligi kuu soka Tanznaia bara inaanza kutimua vumbi leo kwa mchezo mmoja, amapo Ruvu Shooting watakuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar katika Simba la Mabatini mkoani Pwani Saa 10:00 Jioni.