Anayetuhumiwa kumuua Mama yake aanza kutoa maelezo
Polisi mkoa wa Arusha wamesema kwamba mtoto anayetuhumiwa kumuua mama yake ambaye alikuwa mfanyabiashara wa madini aitwaye Ruth Mmasi, na kisha kumtupa kwenye shimo la choo, anaendelea kutoa ushirikiano kwa polisi hali iliyopelekea kupata baadhi ya vielelezo vinavyohusiana na tukio hilo.