Mukoko bado yupo sana Yanga SC Baada ya kutapakaa kwa tetesi za kiungo wa Yanga, Mukoko Tonombe wa Yanga kudaiwa kugomea mkataba mpya wa klabu ya Yanga, wadau wengi wa timu hiyo walimwona kama anafanya usaliti. Read more about Mukoko bado yupo sana Yanga SC