Mrithi wa Manara, atambulishwa Simba SC Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC imemtangaza Mwanahabari Ahmed Ally kuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo. Read more about Mrithi wa Manara, atambulishwa Simba SC