Agizo kwa watakaotumia magari binafsi

Picha ya magari yakiwa barabarani

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene amewataka wote wanao tamani kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kwa kutumia magari yao binafsi, kuhakikisha wanayafanyia uchunguzi wa kina na wa kitaalamu kabla ya kuyatumia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS