Hali ya Pelle ikoje kwa sasa?

(Gwiji wa Soka Nchini Brazil, Pelle)

Gwiji wa soka Nchini Brazil, Edson Arantes Do Nascimento ‘Pelle’ (81), usiku wa kuamkia leo ameruhusiwa kutoka hospitali na kurudi nyumbani kwake baada ya afya yake kuimaraika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS