Rais Samia na Ndugai wazungumza leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 12, 2022, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai Ikulu ya Chamwino Dodoma.