Iran yatoa msimamo kuhusu kusitisha mapigano

Iran inasema iko tayari kuacha mashambulio, iwapo Israel nayo itaacha kuishambulia, saa chache baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa nchi hizo mbili zilikuwa zimekubaliana kusitisha vita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS